• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri Mkuu wa Israel ahojiwa kuhusu njama za kula rushwa

    (GMT+08:00) 2017-11-10 09:59:10

    Idara ya Uchunguzi ya Polisi nchini Israel imemhoji waziri mkuu wa nchi hiyo Benjamini Netanyahu ikiwa ni sehemu ya uchunguzi kuhusu tuhuma mbili za ufisadi zinazomkabili. Jana mchana polisi walifika nyumbani kwa Waziri Mkuu Netanyahu mjini Jerusalem, ikiwa ni mara ya tano sasa kumhoji juu ya madai ya muda, ingawa msemaji wa polisi Bi. Luba Samri hakuzungumza chochote mbele ya waandishi wa habari kuhusu suala hilo kwa madai kuwa bado uchunguzi unaendelea. Tuhuma zinazomkabili Bw Netanyahu, ni kupokea zawadi zenye thamani kutoka kwa bilionea wa Marekani Bw Arnon Milchan mwenye asili ya Israel.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako