• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uwanja wa Ndege wa Hamburg nchini Ujerumani wafungwa

    (GMT+08:00) 2017-11-10 09:59:10

    Habari kutoka mjini Berlin nchini Ujerumani zinasema Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Hamburg umefungwa na ndege zilizokuwa zinaelekea kwenye uwanja huo, sasa zimeelekezwa mahali pengine kwa kuwa haziwezi kutua katika uwanja huo. Mpaka sasa, sababu ya kufungwa kwa uwanja huo hazijakuwa bayana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako