• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • NATO kuongeza kikosi askari wake nchini Afghanistan

    (GMT+08:00) 2017-11-10 10:00:02

    Mkutano wa mawaziri wa ulinzi wa NATO uliofungwa jana umepitisha upanuzi wa shirikishi la kijeshi, ambao NATO itaongeza askari wake kuunga mkono jeshi la serikali nchini Afghanistan na kujenga vituo viwili vipya ya uongozi barani Ulaya.

    Kikosi cha NATO nchini Afghanistan kinatarajia kuongeza askari wake kutoka elfu 13 hadi elfu 16. Mawaziri wa ulinzi pia wamekubali kuendelea kufadhili kikosi cha ulinzi cha Afghanistan hadi mwaka 2020.

    Aidha kituo kipya cha uongozi cha Atlantic kimekubali kutafuta usalama wa baharini na kulinda njia za baharini kwa ajili ya msaada wa Marekani wa washirika wa Ulaya wakati wa mgogoro. Na kituo kipya cha huduma pia kimepanga kuwezesha kikosi chake na vifaa vyake kupita kirahisi katika nchi mbalimbali za washirika barani Ulaya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako