• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais Xi Jinping kuhuduria mkutano usio rasmi wa viongozi wa APEC

  (GMT+08:00) 2017-11-10 10:31:54

  Rais Xi Jinping wa China ameondoka Beijing kuelekea Vietnam ambapo atahudhuria mkutano usio rasmi wa viongozi wa Jumuiya ya ushirikiano wa kiuchumi ya Asia na Pasifiki APEC kutokana na mwaliko wa rais Tran Dai Quang wa Vietnam, pia atafanya ziara ya kiserikali nchini Vietnam na Laos kutokana na mialiko ya katibu mkuu wa kamati kuu ya chama cha Kikomunisti cha Vietnam Bw. Nguyen Phu Trong, rais Tran Dai Quang wa Vietnam, na rais Boungnang Vorachith wa Laos ambaye pia ni katibu mkuu wa kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi ya Umma cha Laos.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako