• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais wa Marekani amaliza ziara nchini China

  (GMT+08:00) 2017-11-10 10:33:31

  Rais Donald Trump wa Marekani ameondoka Beijing leo asubuhi baada ya kumaliza ziara ya kitaifa nchini China. Rais Trump alifanya ziara nchini China kuanzia tarehe 8 hadi 10 Novemba.

  Wakati wa ziara yake marais hao wawili walibadilishana maoni kuhusu uhusiano kati ya China na Marekani, pamoja na masuala muhimu ya kimataifa na kikanda wanayoyafuatilia kwa pamoja, na kufikia makubaliano mengi kuhusu maendeleo ya uhusiano kati ya pande hizo mbili katika zama mpya.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako