• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China ahutubia mkutano usio rasmi wa 25 wa viongozi wa APEC

    (GMT+08:00) 2017-11-11 20:54:32

    Mkutano usio rasmi wa 25 wa viongozi wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Uchumi wa Nchi za Asia na Pasifiki umefanyika leo huko Da Nang nchini Vietnam. Rais Xi Jinping wa China amehudhuria na kuhutubia mkutano huo, akizihimiza pande mbalimbali za jumuiya hiyo kuongoza juhudi za kuendeleza na kustawisha dunia.

    Rais Xi kwenye hotuba yake ametoa mapendekezo manne, yaani kushikilia juhudi za kuhimiza uvumbuzi ili kupata injini yenye nguvu ya maendeleo, kushikilia kufungua mlango zaidi ili kuongeza nafasi za maendeleo, kutekeleza maendeleo ya uvumilivu ili kuwanufaisha zaidi watu wote, na kuongeza ushirikiano wa kiwenzi ili kunufaishana na kupata mafanikio ya pamoja.

    Viongozi waliohudhuria mkutano huo wamesema nchi za sehemu ya Asia na Pasifiki zinapaswa kusukuma mbele ujenzi wa miundombinu inayowasiliana na kuungana, eneo la soko huria na muungano wa uchumi wa sehemu hiyo.

    Rais Xi siku hiyo pia amekutana na waziri mkuu wa Vietnam Nguyen Xuan Phuc 

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako