• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Raia wawili wa Iran wafariki kutokana na tetemeko kubwa la ardhi lililolikumba eneo la mpaka kati ya Iran na Iraq

    (GMT+08:00) 2017-11-13 09:00:04

    Raia wawili wa Iran wamefariki dunia na wengine 25 wamejeruhiwa kwenye tetemeko kubwa la ardhi lenye nguvu ya 7.2 kwenye kipimo cha Richter lililotokea jumapili katika eneo la mpaka kati ya Iran na Iraq. Tetemeko hilo lenye kiini chake mjini Sulaymaniyah nchini Iraq, limeharibu vijiji zaidi ya 20 kwenye eneo la mpaka nchini Iran na kusababisha umeme na maji kukatika kwenye eneo hilo. Hivi sasa timu za kukabiliana na hali ya dharura za Iran zimetumwa kwenye eneo hilo na kutoa misaada kwa waathrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako