• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 14 wafariki dunia baada ya boti kupinduka kusini mwa India

    (GMT+08:00) 2017-11-13 09:00:23

    Watu 14 wamefariki dunia baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kupinduka kwenye mto Krishna katika jimbo la Andhra Pradesh nchini India. Polisi wa huko wamesema boti hiyo iliyokuwa na abiria 30 ilipinduka usiku wa Jumapili na miili ya wahanga 14 imepatikana, na kwamba kazi za uokoaji zinaendelea na uchunguzi umeanza ili kujua chanzo cha ajali hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako