• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Saudi Arabia yahimiza umoja wa nchi za kiarabu kuitisha mkutano wa mawaziri kuhusu uingiliaji wa Iran

    (GMT+08:00) 2017-11-13 09:31:56
    Sauti Arabia imetoa mwito kwa Umoja wa nchi za kiarabu (AL) kuitisha mkutano wa dharura wa mawaziri wa mambo ya nje, kujadili kile ilichokiita kuwa ni uingiliaji wa Iran kwenye mambo ya nchi za kiarabu. Saudi Arabia imeomba mkutano huo ufanyike jumapili.

    Ombi la Saudi Arabia limekuja wakati kuna mvutano mkali kati yake na Iran, hasa kwenye migogoro ya Syria na Yemen.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako