• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rwanda yafuzu CHAN 2018

  (GMT+08:00) 2017-11-13 10:07:11
  Licha ya kulazimishwa sare ya 0-0 na Ethopia ikiwa nyumbani mjini Kigali, timu ya taifa ya Rwanda imefuzu michuano ya komba la mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ligi za ndani (CHAN) itakayofanyika januari mwaka ujao nchini Morocco.

  Amavubi inafuzu moja kwa moja kutokana na faida ya ushindi wa magoli 2-3 ilioupata kwenye mechi ya kwanza ya mtoano iliyopigwa mjini Addis Ababa.Kwa kufuzu mashindano ya Morocco, hii ni mara ya tatu kwa Rwanda kufuzu ambapo mara ya mwisho ilikuwa mwaka 2016 ilipokuwa mwenyeji wa mashindamo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako