• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mashindano ya Mchezo wa Vishale (Darts) Afrika Mashariki kufanyika Desemba

  (GMT+08:00) 2017-11-13 10:08:11
  Katibu mkuu wa chama cha Darts nchini Tanzania, Subira Waziri amesema mashindano ya kupimana nguvu Afrika Mashariki (EADF) yanatarajiwa kufanyika Desemba mosi hadi 3 mwaka huu mkoani Arusha nchini Tanzania.

  Kwa mujibu wa katibu huyo, michuano hiyo itahusisha mchezaji mmoja mmoja na wawili wawili toka nchi za Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi.

  Mashindano hayo hufanyika kila mwaka, ambapo bingwa mtetezi ni Kenya iliyoibuka mshindi mwaka jana.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako