• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Washiriki 165 waanza kutoana jasho nchini Rwanda

  (GMT+08:00) 2017-11-13 10:08:43

  Waendesha baiskeli 165 waanza safari ya kuwania ubingwa wa mashindano ya kimataifa ya Rwanda yajulikanayo kama Tour du Rwanda yaliyoanza jana.

  Nchi zinazoshiriki ni wenyeji Rwanda, Kenya, Afrika Kusini, Ethiopia, Eritrea, Algeria, Morocco, Mauritius, Ujerumani, Marekani, Canada, Japan, Ufaransa, Austria na Slovakia.

  Katika mbio kama hizi kwa mwaka wa jana, Mnyarwanda Valens Ndayisenga alitawazwa bingwa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako