• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ligi kuu mpira wa kikapu kanda ya Unguja: Stone Town yaibamiza Mwembetanga 131-38

  (GMT+08:00) 2017-11-13 10:09:10
  Ligi kuu mpira wa kikapu Kanda ya Unguja visiwani Zanzibar imeendelea jana kwa mechi kati ya Stone Town na Mwembetanga, ambapo hadi mwisho wa Stone Town imeichabanga bila huruma Mwembetanga kwa alama 131-38 katika mchezo uliofanyika kwenye uwanja wa Gymkhana mjini Unguja.

  Kwa upande wa wanawake, timu ya Duma imeifunga New West kwa vikapu 44-28.

  Bingwa wa mchezo huo atashiriki ligi ya muungano wa mpira wa kikapu Tanzania.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako