• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mkoa wa Somaliland nchini Somalia wafanya uchaguzi

  (GMT+08:00) 2017-11-13 18:39:18

  Mkoa uliojitenga wa Somaliland nchini Somalia leo umepiga kura katika uchaguzi wa rais, huku zaidi ya watu laki 7 wakijitokeza kushiriki kwenye uchaguzi huo.

  Katika uchaguzi huo, Muse Bihi Abdi atakuwa kitetea nafasi yake ya urais huku spika wa zamani wa bunge la mkoa huo Abdirahman Irro akigombea nafasi hiyo kwa kupitia chama cha Wadani, naye Faisal Ali Warabe anagombea nafasi ya urai kwa kupitia chama cha UCID.

  Huu ni uchaguzi wa kwanza kwa Somaliland kutumia mfumo mpya wa upigaji kura wa teknolojia ya biometric katika uchaguzi barani Afrika.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako