• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China yapenda kutekeleza makubaliano yaliyofikiwa kwenye mkutano wa viongozi wa APEC

  (GMT+08:00) 2017-11-13 18:54:23

  Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Geng Shuang amesema, China inapenda kushirikiana na wananchi mbalimbali, kutekeleza makubaliano ya kufanya juhudi kuhimiza ujenzi wa biashara huria la Asia na Pacifiki yaliyofikiwa na pande zote katika mkutano usio rasmi wa jumuiya ya APEC uliofanyika nchini Vietnam.

  Geng Shuang amesema, kujenga eneo la biashara huria la Asia na Pacific ni kiini cha kuongeza utandawazi wa eneo hilo, pia ni njia muhimu ya kuendeleza uchumi wa kufungua mlango na kuunda jumuiya yenye mustakabali wa pamoja ya Asia na Pacifiki.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako