• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya Jamii kupata asilimia moja ya mapato ya madini

  (GMT+08:00) 2017-11-13 19:06:38

  Makampuni ya madini angalau itatumi asilimia moja ya mapato ya mauzo kila mwaka kuweza kuinua jamii zinazoathiriwa na shughuli zao.

  Chini ya Sheria mpya ya madini Mipango ya Maendeleo kwa jamii, ni kwamba fedha za madini zitawafikia wanachama wa jamii kwa njia ya masomo, elimu, vituo vya afya, barabara, maji au nishati.

  Wachimbaji madini pia wameamua kusaidia wafanyibiashara wadogo na bidhaa za kilimo, kutoa msaada wa fedha kwa miradi ya ulinzi wa mazingira.

  Madhumuni ya kanuni hizi ni kuhakikisha kuwa madini yanachangia sana kuboresha ustawi wa uchumi, kijamii na utamaduni wa jamii.

  Kenya ilirekodi mauzo ya sh bilioni 24, kutoka kwa makampuni ya madini, Kenya ina makampuni zaidi ya 300 ya ndani na nje zinazochimba madini.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako