• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Washukiwa 4 wa ugaidi wakamatwa mashariki mwa Algeria

  (GMT+08:00) 2017-11-14 08:46:34

  Wizara ya ulinzi ya Algeria imesema vikosi vya kupambana na ugaidi vya nchi hiyo Ijumaa vimewakamata watu wanne wanaoshukiwa kutoa misaada kwa magaidi kwenye jimbo la Batna, kilomita 400 kusini mashariki mwa Algeria. Mwezi uliopita, operesheni kubwa ya kupambana na ugaidi ilifanyika kwenye sehemu ya mashariki mwa Algeria, ambapo wapiganaji sita waliuawa na wengine saba walikamatwa wakiwemo wanawake watano.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako