• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Israel yaweka mfumo wa makombora ya ulinzi dhidi ya maroketi katikati ya nchi

  (GMT+08:00) 2017-11-14 08:48:32

  Jeshi la Israel limeweka mfumo wa makombora ya ulinzi dhidi ya maroketi aina ya Iron Dome kwenye maeneo ya katikati ya nchi hiyo. Hatua hiyo imetajwa kuwa ni sehemu ya hatua za tahadhari kufuatia matishio ya kundi la Islamic Jihad lenye makao makuu huko Gaza, ambalo liliapa kulipiza kisasi baada ya wapiganaji wake 12 kuuawa wakati Israel ilipolipua handaki moja la kuvuka mpaka Oktoba 31.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako