• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kundi la IS laanzisha kituo cha ukaguzi karibu na Sirte nchini Libya

  (GMT+08:00) 2017-11-14 09:26:02

  Mwenyekiti wa kamati ya usalama ya Sirte nchini Libya Bw. Zarroug Sweti amesema kundi la IS limeanzisha kituo cha ukaguzi kilomita 20 kusini mwa eneo la Bohadi mjini Sirte.

  Bw. Sweti ameongeza kuwa magaidi wamekaa katika maeneo ya bonde, kilomita 80 kusini mwa Bohadi. Wafuasi wa kundi la IS pia wanakagua magari ya raia wanaopita, na wanakimbia eneo hilo kama wana usalama wakifika pale mara baada ya kupokea habari kuhusu uwepo wao.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako