• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Italia yashindwa kufuzu kombe la dunia 2018

  (GMT+08:00) 2017-11-14 09:38:58

  Taifa ya Italia itakosekana katika michuano ya kombe la dunia mwakani nchini Urusi baada ya kushindwa kufuzu, ikiwa nia mara ya kwanza kukosekana tangu mwaka 1958.

  Italia ambao ni mabingwa mara nne wa dunia wameondolewa na Sweden katika kinyang'anyiro cha kufuzu kwa matokeo ya jumla ya 1-0 katika mechi mbili za kufuzu ikiwemo iliyofanyika jana mjini Milan na kuisha kwa sare ya bila kufungana.

  Lakini kwa ushindi wake, Sweden inafuzu mashindano hayo baada ya kukosekana tangu mwaka 20o6 waliposhiriki nchini Ujerumani.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako