• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kamanda mkuu wa jeshi la Zimbabwe asema jeshi lake litaingilia katika ulinzi wa mapinduzi

  (GMT+08:00) 2017-11-14 09:44:38

  Mkuu wa majeshi wa Zimbabwe Constantino Chiwenga amekitaka chama cha Zanu-PF kijirekebishe haraka iwezekanavyo, la sivyo jeshi lake litaingilia kama mapinduzi yaliyoleta uhuru yakiwa hatarini.

  Akisisitiza utii kwa Rais Mugabe Bw Chiwenga amesema baadhi ya watu wanaopinga mapinduzi wanataka kuhujumu juhudi za mapinduzi na kuifanya Zimbabwe iwe nchi ya ukoloni mamboleo. Amesema jeshi litaingilia kati na kulinda mapinduzi kama kuna haja ya kufanya hivyo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako