• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Maandalizi ya AFCON ya Vijana 2019

  (GMT+08:00) 2017-11-14 10:18:10
  Serikali ya Tanzania imeteua kamati maalum ya kitaifa ya maandalizi rasmi kwa ajili ya mashindano ya soka kwa vijana mwaka 2019.

  Kamati hiyo inatarajiwa kukutana mwishoni mwa juma hili kwa ajili ya kupeana majukumu ikiwemo kupanga bajeti na maandalizi ya kupokea wageni.

  Shirikisho la vyama vya soka Afrka CAF linatarajiwa kuzuru Tanzania ili kukagua viwanja vitakavyotumika katika mashindano.

  Licha ya kuwa mwenyeji katika matukio kadhaa ya kimichezo kimataifa, Hii ni mara ya kwanza kwa taifa la Tanzania kuandaa mashindano ya kimataifa ya soka.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako