• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mashindano ya Baiskeli: Tour Du Rwanda

  (GMT+08:00) 2017-11-14 10:19:18
  Mwendesha baiskeli Joseph Areruya amefanikiwa kuibuka mshindi wa hatua ya kwanza ya mbio za baiskeli za kimataifa nchini Rwanda ambapo alitumia saa 3 na dakika 12 katika umbali wa kilomita 120 kuanzia mjini Kigali hadi mji wa Huye.

  Nafasi ya pili ilichukuliwa na Kent Main wa Afrika Kusini, nafasi ya tatu akiwa Natnael Mebrahtom wa Eritrea。

  Mbio hizo zinaendelea leo kwa hatua ya pili yenye kilomita 180 kuanzia mji wa Nyanza hadi mkoa wa Rubavu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako