• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Majeruhi yamuondoa Nadal kwenye mashindano ya Tennis

  (GMT+08:00) 2017-11-14 10:19:59
  Mchezaji namba moja kwa viwango vya ubora wa tennis duniani Rafael Nadal ametangaza kujiondoa kwenye michuano mingine iliyosalia katika msimu huu kufuatia majeruhi ya goti yanayomwandama.

  Bingwa huyo wa mashindano ya makubwa ya Ufaransa na Marekani kwa mwaka huu amejiondoa ikiwa ni muda mfupi baada ya kufungwa na David Goffin wa Ubeligiji kwenye mashindano ya Uingereza yanayoendelea jijini London.

  Licha ya ushindi wa seti ya 3-1 yenye alama 7-6 6-7 na 6-4, Goffin amekiri kuwa haikuwa kazi rahisi kumfunga Rafael Nadal.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako