• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Waziri mkuu wa China asisitiza kujenga Jumuiya yenye mustakabali wa pamoja

  (GMT+08:00) 2017-11-14 10:44:23

  Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang jana alihudhuria Mkutano wa 20 wa viongozi kati ya China na ASEAN uliofanyika katika Kituo cha mikutano ya kimataifa nchini Ufilipino.

  Bw. Li alipohutubia mkutano huo alisema China inaunga mkono kithabiti ujenzi wa Umoja wan chi za Asia ya Kusini-Mashariki ASEAN, kuunga mkono hadhi muhimu ya umoja huo katika ushirikiano wa kikanda, na kuunga mkono umoja huo kuonesha umuhimu mkubwa katika mambo ya kimataifa, na kushirikiana kujenga jumuiya yenye mustakabali wa pamoja. Pia ametoa mapendekezo mbalimbali ya kusukuma mbele uhusiano kati ya China na ASEAN hadi katika kiwango kipya.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako