• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mawaziri wakuu wa China na Combodia wakutana

  (GMT+08:00) 2017-11-14 10:56:29

  Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang jana alikutana na waziri mkuu wa Combodia Bw. Hun Sen.

  Katika mazungumzo hayo Bw. Li Keqiang amesema China inapenda kudumisha mawasiliano ya ngazi ya juu na Combodia, kuimarisha ushirikiano wenye ufanisi katika sekta mbalimbali, kuhimiza mawasiliano ya utamaduni, ili kusukuma mbele uhusiano kati ya pande hizo mbili, na kuchangia katika utulivu na maendeleo ya sehemu hiyo.

  Bw. Hun Sen amesema, Combodia inapenda kuimarisha mawasiliano na ushirikiano kati ya nchi hizo mbili ili kusukuma mbele uhusiano wa wenzi wa kimkakati wa pande zote kati ya nchi hizo mbili.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako