• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Waziri mkuu wa China akutana na rais Moon Jae-in wa Korea ya Kusini

  (GMT+08:00) 2017-11-14 11:06:04

  Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang jana mjini Manila akutana na rais Moon Jae-in wa Korea ya Kusini.

  Wakati wa mazungumzo hayo, Bw. Li Keqiang ameeleza matumaini yake kuwa nchi hizo mbili zitahimiza shirikiano wa kunufaishana katika sekta za uchumi, biashara, fedha, viwanda na uhifadhi wa mazingira, kuimarisha mawasiliano ya watu na utamaduni, ili kuimarisha uhusiano kati ya pande hizo mbili.

  Rais Moon Jae-in amesema Korea ya Kusini inapenda kushirikiana na China, kuimarisha kuaminiana kwa kisiasa, kurejesha mawasiliano na ushirikiano wa uchumi, biashara na utamaduni, na kuhimiza uhusiano kati ya pande hizo mbili kurejea mapema katika hali ya kawaida.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako