• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Marais wa China na Laos washiriki katika sherehe ya uzinduzi ya Hospitali ya Mahosot

  (GMT+08:00) 2017-11-14 14:29:11

  Rais Xi Jinping wa China na rais Bounnhang Vorachith wa Laos leo wameshiriki katika sherehe ya uzinduzi wa hospitali ya Mahosot.

  Katika sherehe hiyo, rais Xi jinping ameeleza kuwa ushirikiano kati ya China na Laos unatakiwa kuhusisha zaidi sekta ya maisha ya wananchi, ili kuwanufaisha zaidi wananchi wa huko.

  Hospitali ya Mahosot ni mradi muhimu ya sekta ya maisha ya wananchi ambao ulijengwa kutokana na misaada ya China.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako