• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais Xi Jinping wa China akutana na familia ya Kinim Pholsena wa Laos

  (GMT+08:00) 2017-11-14 14:42:22

  Rais Xi Jinping wa China leo mjini Vientiane amekutana na familia ya Kinim Phoisena wa Laos.

  Katika mazungumzo hayo, rais Xi amesema urafiki kati ya familia ya Kinim Pholsena na Laos umekuwa mfano mzuri wa kuigwa, anaitaka familia hiyo itatumia vizuri fursa ya kukuza maendeleo ya uhusiano kati ya China na Laos, ili kuchangia katika kujenga Jumuiya yenye mustakabali wa pamoja yenye umuhimu wa kimkakati kati ya pande hizo mbili.

  Familia ya Kinim Pholsena inawatakia wananchi wa China watatimiza lengo la kimkakati wa maendeleo mapema iwezekanavyo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako