• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Oparehesheni za Western Union zapungua Afrika

    (GMT+08:00) 2017-11-14 19:06:34

    Kampuni ya huduma za kutuma pesa ya Western Union imeripoti kupungua kwa biashara zake barani Afrika huku kukiwa na washindani wapya kama vile kama vile kapmuni ya Wave.

    Ripoti ya fedha ya robo ya tatu ya Western Union inaonyesha upungufu wa asilimia 11 katika shughuli za utumaji wa pesahasa kwenye maeneo ya Afrika na Mashariki ya Kati.

    Mwaka 2015 kuliuwa na upungufu wa asilimia 1 na mwaka 2016 upungufu ukafikia asilimi 6.

    Nayo benki ya Equity nchini Kenya pia imesema pesa inazopokea au kutuma kupitia Western Union zimepungua kwa asilimia 31 ndani ya miaka 2 iliopita kutoka dola milioni 5.7 hado dola milioni 3.9.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako