• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Uganda: Gharama ya kutumia inatneti Uganda yapungua

  (GMT+08:00) 2017-11-14 19:07:33

  Gharama ya kutumia inatneti nchini Uganda imepungua kwa asilimia 73 ndani ya kipindi cha miaka 3 iliopita.

  Mbps moja sasa inagharimu dola 70 hiyo ikiwa ni ishara ya kupungua kwa gharama za kufanya biashara.

  Mkurungezi wa Tume ya mawasiliano nchini humo Godfrey Mutabazi amesema kushuka kwa bei ya intaneti kumetokana na kutekelezwa na kutoal ya kuwa na mtandao wa 4g.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako