• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Nigeria: Mamkapuni 23 ya Uturuki kufungua duka nchini Nigeria

  (GMT+08:00) 2017-11-14 19:07:53

  Mamkapuni 23 ya Uturuki yatafungua duka nchini Nigeria kufuatia mikataba iliotiwa saini wakati wa ziara ya rais wa Nigeria Muhammadu Buhari nchini humo.

  Wiki hii kampuni hizo 23 za vifaa vya umeme zitafanya ziara Nigeria kukutana na wanuuzi na wasambazi bidhaa.

  Mkurungezi wa kampuni ya Naijalink Ltd Mrs Thessa Bagu amesema ziara hiyo ya wenye makampuni ua Uturuki itasaidia kukuza biashara kati ya nchi hizo mbili.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako