• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • WTO yakadiria biashara ya dunia itaongezeka kwa mwafaka katika miezi mitatu ya mwisho ya mwaka huu

  (GMT+08:00) 2017-11-14 19:08:26

  Shirika la Biashara Duniani (WTO) limetoa ripoti mpya ya kielezo cha ustawi wa biashara ya dunia, likikadiria kuwa biashara hiyo itaongezeka kwa mwafaka katika miezi mitatu ya mwisho ya mwaka huu.

  Ripoti hiyo imeonesha kuwa, kielezo cha ustawi wa biashara ya dunia katika miezi mitatu ya mwisho ya mwaka huu ni 102.2, ambacho kilishuka kuliko miezi mitatu iliyopita, lakini bado kimezidi 100. Hii inamaanisha kuwa, ingawa kasi ya ongezeko la biashara ya dunia ilipungua, lakini kwa ujumla inaendelea kuongezeka.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako