• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais Xi Jinping akamilisha ziara yake nchini Vietnam na Laos

  (GMT+08:00) 2017-11-15 09:47:19

  Rais Xi Jinping wa China amerudi Beijing, baada ya kuhudhuria mkutano wa 25 usio rasmi wa viongozi wa jumuiya ya ushirikiano wa Asia na Pasifiki APEC, na kukamilisha ziara za kiserikali nchini Vietnam na Laos,

  Jana mchana makamu wa rais wa Laos Bw. Phankham Viphavan, meya wa mji wa Vientiane Bw. Sinlavong Khoutphaithoune, naibu waziri mkuu wa Laos Bw. Sonexay Siphandone walimuaga rais Xi kwenye uwanja wa ndege.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako