• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Hotuba ya rais Xi Jinping imeonesha mustakabali mzuri wa ushirikiano kati ya China na nchi mbalimbali duniani

  (GMT+08:00) 2017-11-15 09:47:50
  Gazeti la Renminribao la China limetoa makala ya uchambuzi ikisema hotuba aliyotoa rais Xi Jinping kwenye mkutano wa wakuu wa viwanda na biashara wa APEC imeonesha mustakabali mzuri wa ushirikiano kati ya China na nchi mbalimbali duniani, na kutangaza kuwa China itaendelea kupiga hatua katika kujenga mahusiano mapya ya kimataifa na jumuiya ya binadamu yenye hatma ya pamoja.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako