• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Watu watatu wauawa kwa kupigwa risasi karibu na shule jimboni California, Marekani

  (GMT+08:00) 2017-11-15 09:10:51

  Watu watatu akiwemo mshukiwa wameuawa kwenye tukio la ufyatuaji risasi lililotokea jana asubuhi karibu na shule moja ya msingi kaskazini mwa jimbo la California, Marekani. Polisi wa kaunti ya Tehama Bw. Phil Johnson amesema hivi sasa shule hiyo imefungwa na wanafunzi waliokuwa kwenye shule hiyo wamehamishiwa kwenye eneo salama.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako