• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Chama tawala cha Afrika kusini chaeleza wasiwasi juu ya hali ya Zimbabwe

  (GMT+08:00) 2017-11-15 09:11:16

  Chama tawala cha Afrika kusini ANC kimeeleza wasiwasi wake kuhusu kukosekana kwa utulivu nchini Zimbabwe kufuatia rais Robert Mugabe wa nchi hiyo kumfuta kazi makamu wake Emmerson Mnangagwa wiki iliyopita, ambapo kamanda mkuu wa jeshi la Zimbabwe Constantine Chiwenga alisema kuwa jeshi litaingilia kati kama mapinduzi ya nchi hiyo yakiwa hatarini. Chama cha ANC cha Afrika Kusini na Chama tawala cha Zimbabwe Zanu-PF vimekuwa na uhusiano wa karibu tangu wakati wa vita ya ukombozi, na vinakutana kila baada ya muda kujadili ushirikiano wao.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako