• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Bunge la Sudan kusini lapitisha sheria ya kazi

  (GMT+08:00) 2017-11-15 09:11:39

  Bunge la mpito la Sudan Kusini limepitisha mswada wa sheria ya kazi inayolenga kuwalinda haki na maslahi ya wafanyakazi na kutoa mwongozo wa kuajiri wageni nchini humo. Naibu katibu wa kazi na mahusiano ya viwanda katika wizara ya kazi ya nchi hiyo Bi. Mary Wani amesema serikali imekabiliwa na matatizo mengi katika kutekeleza kanuni za kazi katika miaka sita iliyopita, na sheria mpya itakuwa muhimu kuelekeza soko la ajira katika nchi hiyo mpya, ambayo imeendelea kutumia sheria ya ajira ya Sudan tangu ijitenge na Sudan Julai mwaka 2011.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako