• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mpango wa Brexit wa May wapingwa na wabunge wa chama chake

    (GMT+08:00) 2017-11-15 09:12:03

    Ratiba ya Brexit iliyotolewa na Waziri mkuu wa Uingereza Bibi Theresa May imekabiliwa na upinzani kutoka kwa wabunge wa chama chake. Bibi May ametaka kuandika kwenye sheria kwamba Uingereza itajitoa rasmi kutoka kwenye Umoja wa Ulaya tarehe 29 mwezi Machi mwaka 2019, lakini baadhi ya wabunge kutoka chama cha wahafidhina wameitaka serikali ifute ratiba hiyo. Aliyekuwa mwanasheria mkuu wa serikali Bw. Dominic Grieve amesema kuweka siku ya Brexit itaharibu uwezo wa serikali ya Uingereza kufanya majadiliano na Umoja wa Ulaya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako