• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Waziri mkuu wa Israel asema Israeli itaendelea na operesheni nchini Syria

  (GMT+08:00) 2017-11-15 10:11:50

  Waziri mkuu wa Israeli Bw. Benjamin Netanyahu amesema Israel itaendelea na operesheni za kijeshi nchini Syria kwa mujibu wa mahitaji ya usalama wake, licha ya Marekani, Russia na Jordan kufikia makubaliano ya kusitisha mapambano kusini magharibi mwa Syria mwezi Julai.

  Kwa muda mrefu Israeli inaona kundi la Hezbollah la Lebanon ni tishio kubwa kwa usalama na kuilaani Iran kulipatia silaha kundi hilo kupitia Syria. Kutokana na sababu hiyo Israel imekuwa ikifanya mashambulizi ya mara kwa mara nchini Syria.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako