• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Shiriko la Masumbwi Duniani Aiba latoa agizo Uganda

    (GMT+08:00) 2017-11-15 10:14:21
    Licha ya mahakama nchini Uganda kufuta uchaguzi wa viongozi wa kitaifa wa chama cha masumbwi (UBF) uliokuwa ufanyike Novemba 11 mwaka, nalo shirikisho vyama vya ngumi duniani AIBA limeunga zuio hilo na kutaka chama hicho kufuata sheria za kitaifa na kanuni zote za uchaguzi za viongozi wake.

    Aiba wametoa maoni hayo na onyo kali wakati wakijibu barua iliyoandikwa kwake na UBF mnamo Novemba 4 ya kuomba kwa dharura waangalizi wa kimataifa kwa ajili ya uchaguzi uliokuwa ufanyike Novemba 11 jambo ambalo hata hivyo ni kinyume cha kanuni zinazotaka taarifa za uchaguzi kupelekwa AIBA katika kipindi kisichopungua mwezi mmoja wa uchaguzi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako