• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tennis London, Federer amfunga Zverev

    (GMT+08:00) 2017-11-15 10:14:43
    Bingwa mara sita wa tennis duniani Roger Federer wa Uswisi amefuzu raundi ya nne ya mashindano ya tennis ya London baada ya kumfunga chipukizi tishio Alexander Zverev wa Ujerumani kwa seti yenye alama 7-6 5-7 na 6-1.

    Hii ni mara ya 14 kwa Federer kufuzu raundi ya nne kwenye michuano hiyo inayofanyika kila mwaka, na sasa anatarajiwa kukutana na Jack Sock wa Marekani katika mechi hiyo ya mtoano.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako