• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Denmark yafuzu kombe dunia

    (GMT+08:00) 2017-11-15 10:15:22
    Timu ya taifa ya Denmark imefuzu kwa mashindano ya kombe la dunia mwakani nchini Urusi baada ya kuiondoa Jamhuri ya Ireland kwa jumla ya magoli 5-1 ambayo yote yalipatikana kwenye mechi ya pili ya mtoano iliyofanyika jana mjini Copen Hagen.

    Mwiba mkali katika mechi hiyo alikuwa kiungo wa klabu ya Tottenham ya Uingereza Christian Erikssen aliyefunga magoli matatu peke yake na mengine yakifungwa na Cyrus Christie na Nicklas Bendtner.

    Hii ni mara ya tano kwa Denmark kushiriki michuano ya kombe la dunia ikiwa imefanya hivyo pia mwaka 1986, 1998, 2002 na mwaka 2010.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako