• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kuzindua setilaiti mpya nne za kufuatilia hali ya hewa kabla ya mwaka 2021

    (GMT+08:00) 2017-11-15 18:14:41

    Shirika la Sayansi na Teknolojia ya Anga za Juu la China (CASTC) limesema, China inajiandaa kutuma kwenye anga za juu setilaiti nyingine nne za Fengyuan-3 zinazochunguza hali ya hewa kati ya mwaka 2018 na 2021.

    Setilaiti hizo zitaunda mtandao wa satelaiti zinazochunguza hali ya hewa kwenye anga za juu ili kuboresha usimamizi wa unyevunyevu kwenye hewa na hali ya joto, gesi safi, upepo, na mvua.

    Satelaiti za Fengyuan ni mfululizo wa satelaiti zinazochunguza hali ya hewa zilizobuniwa na kutengenezwa nchini China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako