• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Italia wamfukuza kocha, wamtaka Ancelloti

    (GMT+08:00) 2017-11-16 09:56:09

    Kufuatia matokeo mabaya na kushindwa kufuzu kombe la dunia mwaka 2018 nchini Urusi, chama cha soka cha Italia FIGC kimemfukuza kazi kocha mkuu wa timu Giampiero Ventura.

    Katika mechi ya mwisho chini ya Uongozi wa kocha huyo, Italia ilifungwa goli 1-0 na Sweden ikashindwa kufuzu mashindano ya kombe la dunia ikiwa ni kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 60.

    Tayari habari kutoka nchini Italia zinasema FIGC imeanza mazungumzo na kocha Carlo Ancelloti ili kuziba nafasi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako