• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ufaransa washinda uenyeji kombe la dunia 2023 raga

    (GMT+08:00) 2017-11-16 09:56:58

    Taifa la Ufaransa limeshinda haki ya kuwa mwenyeji wa michuano ya kombe la dunia ya mchezo wa raga kwa mwaka 2023.

    Katika kinyang'anyiro hicho, ufaransa wamezipiku kwa kura nyingi nchi za Ireland na Afrika Kusini ambazo ndizo zilizokuwa zinapewa kipaumebele kuandaa.

    Hii ni mara ya pili kwa ufaransa kuwa mwenye wa mashindano hayo yanayofanyika kila baada ya miaka mine, wakiwahi kufanya hivyo mwaka 2007.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako