• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Australia yafuzu kombe la dunia 2018

    (GMT+08:00) 2017-11-16 10:02:23

     

    Timu ya taifa ya Australia imefuzu kushiriki kombe la dunia mwakani nchini Urusi baada ya ushindi wa magoli 3-1 ilioupata jana ikiwa nyumbani mjini Sidney kwa kuwafunga Honduras kwenye mechi ya pili ya mtoano.

    Alikuwa kiungo mkabaji wa klabu ya Aston Villa amabye pia ni nahodha wa timu hiyo ya taifa Mile Jedinak aliyekoleza ushindi huo kwa kupachika magoli yote matatu ya ushindi kwenye mechi hiyo.

    Hii ni mara ya nne mfululizo kwa timu hiyo kufuzu michuano ya kombe la dunia na ikiwa ni mara yake ya tano kushiriki michuano hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako