• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mawaziri wa mambo ya nje wa SADC kukutana kujadili hali ya Zimbabwe

    (GMT+08:00) 2017-11-16 17:47:17

    Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini ambaye ni mwenyekiti wa zamu wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika SADC, leo ameitisha mkutano wa dharura wa mawaziri wa mambo ya nje ya jumuiya hiyo kwenye idara ya sekretarieti huko Gaborone nchini Botswana ili kujadili hali ya siasa na usalama nchini Zimbabwe.

    Idara hiyo imesema mawaziri wa mambo ya nje kutoka nchi wanachama wa SADC watakaohudhuria mkutano ni pamoja na wanaotoka Angola, Tanzania, Zambia, na Afrika Kusini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako