• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yafuatilia hali ya Zimbabwe

    (GMT+08:00) 2017-11-16 18:38:39

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Geng Shuang leo hapa Beijing amesema, China inafuatilia sana hali nchini Zimbabwe, na inatumai masuala husika yatatatuliwa kwa amani.

    Amesema sera ya urafiki kati ya China kwa Zimabwe haitabadilika, na China itaendeleza ushirikiano wa kirafiki kati ya nchi hizo mbili, juu ya msingi wa usawa na kunufaishana.

    Bw. Geng Shuang aliyasema hayo alipojibu swali kuhusu kama hali ya sasa ya Zimabwe itaathiri miradi ya uwekezaji ya China nchini humo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako