• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa 4 wa Kimataifa wa mtandao wa Internet kufanyika Desemba

    (GMT+08:00) 2017-11-16 19:46:12

    Mkutano wa 4 wa kimataifa wa mtandao wa Internet utafanyika tarehe 3 hadi 5 Desemba, huko Wuzhen, mkoani Zhejiang nchini China.

    Akizungumza na waandishi wa habari, mkurugenzi wa idara ya uenezi ya mkoa wa Zhejiang Bibi Ge Huijun amesema, mkutano huo utatilia maanani zaidi kuonyesha teknolojia ya juu ya mtandao wa Internet duniani, ambapo matoleo mapya ya kampuni za Alibaba, Baidu, Huawei, SAP ya Ujerumani na kampuni nyingine za China na nchi za nje yataonyeshwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako